Header Ads Widget

MAJINA YA WALIOSHINDA NEC-CCM, MAWAZIRI WANG'ARA

Mawaziri wang’ara NEC-CCM


Wageni waalikwa wakiwa ndani ya ukumbi wa Jakaya Kikwete walipohudhuria Mkutano Mkuu wa 10 wa CCM, jijini Dodoma leo. 
Wakati CCM ikifanya uchaguzi wake wa ndani jijini Dodoma, idadi kubwa ya nafasi za wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) zimechukuliwa na mawaziri.


Dar es Salaam. Wakati CCM ikifanya uchaguzi wake wa ndani jijini hapa, idadi kubwa ya nafasi za wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) zimechukuliwa na mawaziri.

Uchaguzi huo umefanyika katika mkutano mkuu wa CCM uliofanyika Jijini Dodoma ambapo nafasi za ujumbe, makamu mwenyekiti na mwenyekiti wa chama hicho zilikuwa zikigombewa.

Akitangaza matokeo hayo, Msimamizi wa uchaguzi wa CCM, Dk Ali Mohamed Shein amewataja walioshinda kuwa ni Angelah Kairuki ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi), Dk Ashatu Kijaji (Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwezekezaji), Angelina Mabula (Waziri wa 
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi).

Soma hapa zaidi chanzo Mwananchi.

Post a Comment

0 Comments