Header Ads Widget

KATAMBI AUNGURUMA SAMIA DAY, AMPONGEZA RAIS SAMIA KUTOA MABILIONI YA FEDHA KUTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO KWA WANANCHI

Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu, akiwa ameshika Picha ya Rais Samia Suluhu Hassan siku ya Samia Day.

 Mtembezi siku ya Samia Day yakiendelea katika mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Shinyanga ya kumpongeza Rais Samia juu ya utendaji wake kazi mzuri na kuwaletea maendeleo wananchi kwa muda mfupi ndani ya utawala wake.
 
Na Marco Maduhu, SHINYANGA

MBUNGE wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa fedha nyingi Jimbo la Shinyanga Mjini na Mkoa kwa ujumla ambazo zimetekeleza miradi mingi ya maendeleo kwa wananchi.

Katambi ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu, amebainisha hayo leo Desemba 15,2022 kwenye maadhimisho ya  siku ya Samia Day ya kumpongeza Rais Samia jinsi alivyochapa kazi kubwa ndani ya uongozi wake wa miaka miwili sawa na miaka mitano.

Amesema Rais Samia amefanya mambo makubwa ndani ya uongozi wake wa miaka miwili, na ametoa fedha nyingi za maendeleo kwa wananchi ikiwamo na Shinyanga, hivyo hana budi kuendelea kupongezwa juu ya utendaji wake kazi.

"Rais Samia Suluhu Hassan tumpongeze wana Shinyanga ametoa fedha nyingi za maendeleo na mji wetu mnaona umebadilika, miradi ambayo ilikuwa ni kero kubwa imeshatatuliwa ukiwamo ujenzi wa daraja la Iwelyangula na Uzogole sasa hivi wananchi wanapita bila wasiwasi," amesema Katambi.

Aidha, amesema kwa upande wa Sekta ya Afya miundombinu imeboreshwa, ikiwamo na ukamilishaji wa ujenzi wa Hospitali ya Rufani mkoani Shinyanga, na sasa inafanya kazi na kutoa matibabu kwa wananchi huku wakitarajia tena kupata Magali mawili ya wagonjwa katika kituo cha Afya Kambarage.

Amezungumzia pia Sekta ya Elimu, amesema miundombinu ya shule imejengwa, ikiwamo na ujenzi wa vyumba vipya ya madarasa kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha kwanza mwakani.

Amesema pia Rais Samia ametoa fedha kwa ajili ya kuimarisha ujenzi wa miundombinu katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi na kukipandisha hadhi kuwa Chuo Kikuu, huku mchakato ukiendelea wa kukipandisha hadhi pia Chuo cha Afya Kolandoto kiwe nacho Chuo Kikuu.

Ameendelea kueleza kuwa Rais Samia, amekuwa akitoa fedha kwa ajili ya kuwainua wananchi kiuchumi, ikiwamo utoaji wa fedha za mikopo kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu.

Amesema pia Rais Samia, ameendelea kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi Barabara kwa kiwango cha Lami, Masoko na Stendi za Mabasi pamoja na utekelezaji wa miradi ya maji safi na salama kwa wananchi.

Naye Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mabala Mlolwa, amempongeza Rais Samia pamoja na Mbunge Patrobas Katambi kwa kutekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo. 
 
Aidha amewataka wananchi kupuuza maeneo ya upotoshaji ambayo yamekuwa yakizushwa kuwa miradi ya kimkakati ilivyoanzishwa awamu ya Tano imekwama na kubainisha kuwa miradi hiyo inaendelea kutekelezwa na sasa ipo asilimia 80 ikiwamo ujenzi wa Reli ya kisasa.

Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu akizungumza siku ya Samia Day  na kuwaeleza wananchi mambo makubwa ambayo ameyafanya Rais Samia ndani ya utawala wake kwa miaka miwili.

Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu akizungumza siku ya Samia Day na kuwaeleza wananchi mambo makubwa ambayo ameyafanya Rais Samia ndani ya utawala wake kwa miaka miwili.

Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu, akiwa ameshika Picha ya Rais Samia Suluhu Hassan siku ya Samia Day.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mabala Mlolwa akizungumza siku ya Samia Day na kumpongeza Rais kwa kasi kubwa aliyonayo ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa wananchi, pamoja na Mbunge Katambi.

Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Ally Majeshi akizungumza kwenye maadhimisho ya Samia Day.

Meya wa Manispaa ya Shinyanga Elias Masumbuko akizungumza kwenye maadhimisho ya Samia Day.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Sophia Mjema, akizungumza kwenye maadhimisho ya Samia Day na kumpongeza Rais Samia kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa wananchi.

Maadhimisho ya Samia Day yakiendelea katika viwanja vya Zimamoto Manispaa ya Shinyanga.

Maadhimisho ya  Samia Day yakiendelea katika viwanja vya Zimamoto Manispaa ya Shinyanga ambayo yameandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu.

Mkutano wa Samia Day ukiendelea katika viwanja vya Zimamoto Manispaa ya Shinyanga ambayo yameandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu.

Madhimisho ya Samia Day yakiendelea katika viwanja vya Zimamoto Manispaa ya Shinyanga ambayo yameandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu.

Maadhimisho ya Samia Day yakiendelea katika viwanja vya Zimamoto Manispaa ya Shinyanga ambayo yameandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu.
Maadhimisho ya Samia Day yakiendelea katika viwanja vya Zimamoto Manispaa ya Shinyanga ambayo yameandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu.

Maadhimisho ya Samia Day yakiendelea katika viwanja vya Zimamoto Manispaa ya Shinyanga ambayo yameandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu.

Maadhimisho ya Samia Day yakiendelea katika viwanja vya Zimamoto Manispaa ya Shinyanga ambayo yameandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu.

Watumishi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) wakiwa na Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Mhandisi Yusuph Katopola (kulia) kwenye maadhimisho ya Samia Day.

Mkutano wa Samia Day ukiendelea katika viwanja vya Zimamoto Manispaa ya Shinyanga ambao umeandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu.

Maadhimisho ya Samia Day yakiendelea katika viwanja vya Zimamoto Manispaa ya Shinyanga ambayo yameandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu.

Maadhimisho ya Samia Day yakiendelea katika viwanja vya Zimamoto Manispaa ya Shinyanga ambayo yameandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu.

Maadhimisho ya Samia Day akiendelea katika viwanja vya Zimamoto Manispaa ya Shinyanga ambayo yameandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu.

Mtembezi siku ya Samia Day yakiendelea katika mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Shinyanga ya kumpongeza Rais Samia juu ya utendaji wake kazi mzuri na kuwaletea maendeleo wananchi kwa muda mfupi ndani ya utawala wake.

Mtembezi siku ya Samia Day yakiendelea katika mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Shinyanga ya kumpongeza Rais Samia juu ya utendaji wake kazi mzuri na kuwaletea maendeleo wananchi kwa muda mfupi ndani ya utawala wake.

Post a Comment

0 Comments