Header Ads Widget

NAPE AZUNGUMZIA UMUHIMU WA MIKUTANO YA HADHARA YA VYAMA VYA SIASA, ATAKA IFUNGULIWE

Nape: Tufungue watu wafanye siasaMbunge wa Mtama mkoani Lindi, Nape Nnauye

Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amezungumzia suala la mikutano ya hadhara ya vyama siasa, akisema inaleta ushindani, afya na demokrasia kwa Taifa.Mwaka 2016 Serikali ilipiga marufuku mikutano ya hadhara, baada ya kumalizika kwa uchaguzi ukuu wa mwaka 2015 ikieleza kuwa siasa hufanywa wakati wa uchaguzi.


Nape ambaye pia ni mbunge wa Mtama mkoani Lindi ameyasema hayo jana Oktoba 17, 2022 katika mahojiano maalumu katika kipindi cha ‘Joto Kali la Asubuhi’ kinachorushwa na E-TV, Dar es Salaam, akieleza pia utendaji wake alipokuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM. 

SOMA HAPA ZAIDI CHANZO MWANANCHI.


Post a Comment

0 Comments