Header Ads Widget

RAIS SAMIA; VIJANA WANAHANGAIKA NA SUPU YA PWEZA, VUMBI LA KONGO

Rais Samia: Vijana wanahangaika na supu ya pweza, vumbi la kongo

Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kufanyika utafiti wa kwanini vijana balehe wanamatizo ya lishe ili kuepuka kuwa na Taifa goigoi.


Samia ameyasema hayo leo Ijumaa Septemba 30, 2022 wakati wa hafla ya utiaji saini mkataba wa usimamiaji shughuli za lishe.

“Watoto balehe hebu tufanye utafiti, tunakosea wapi, kwanini tunakuwa na lishe ndogo. Kwanini kunakuwa na hizo gaps (mianya). Kwanini tunakuwa na watoto wazuri kiafya, Je ni masuala ya mitindo? Nataka sijui slim, nataka sijui niwe kilo ngapi,

SOMA ZAIDI HAPA CHANZO MWANANCHI.

Post a Comment

0 Comments