Header Ads Widget

ACP MAKARANI AJIUZULU

Bosi Zaeca ajiuzulu


ACP Ahmed Khamis Makarani

 Siku tano baada ya Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi kuitaka Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (Zaeca) kujitathimini, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo, ACP Ahmed Khamis Makarani amejiuzulu nafasi hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Septemba 2, 2022 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu-Zanzibar, Charles Hilary, Rais Mwinyi amekubali barua ya kujiuzulu ya Makarani.Taarifa hiyo imesema hatua hiyo inafuata maelekezo ya Rais Mwinyi kuitaka Zaeca kujitathmini, baada ya hivi karibuni kupokea ripoti.

 SOMA ZAIDI HAPA CHANZO MWANANCHI.

 

Post a Comment

0 Comments