Header Ads Widget

HUYU HAPA MTAALAMU WA KUTOA MIKOSI NA KUNYOOSHA MAPITO KATIKA SAFARI YA MAISHA YAKO


Nilijitahidi mno kutia bidii tangia nipo shule ya msingi na kuibuka na alama zilizoniwezesha kujiunga na shule ya pili ya ndoto yangu ambayo ilikuwa ni shule ya kitaifa mojawapo ya shule bora nchini Tanzania.
 
 shule ya Upili ya Dodoma. Nilipojiunga pale bidii zangu za mchwa zilikwepo kwenye damu bado kwani nilishikilia nambari ya kwanza tangia kidato cha kwanza mpaka kidato cha nne bila kushindwa na mwanafunzi yeyote shuleni. Baada ya hapo hakukuwa na shaka kuwa lazima ningefuzu kama mwanafunzi bora mkoani na kwenda chuo kikuu.

Ndoto yangu ilikuwa kuwa daktari wa ubongo ambayo ndiyo taaluma niliyosomea chuo kikuu cha Dar es salaam. Nilijitahidi pia kwa pale na hadi baada ya miaka minne nikahitimu kwa alama bora zaidi nchini kama daktari wa Ubongo.
 
 Baada ya kuhitimu, mtalaa ulinihitaji kwenda katika mafunzo ya nyanjani kwa muda wa mwaka mmoja kabla idhinishwa na bodi ya madaktari nchini na kukabidhiwa cheti cha kuhudumu kama daktari wa ubongo ulimwenguni. Kwangu mimi ule msemo wa mchumia juani hulia kivulini haukuwahi kuwa wenye maana katika maisha yangu kwani, nilianzisha kazi ya kutafuta kazi licha ya kujitahidi kwa kiasi kile kutimiza ndoto zangu ili kujikwamua kwenye dimbwi la uchochole lililoizagaa jamii yangu.

Kila nilipojaaliwa kupata kibarua katika hospitali yeyote, sikuweza kudumu hata wiki mbili kabla ya kupigwa kalamu licha ya kuwa mchapa kazi mzuri na hata bila kosa lolote lile. Nilijaribu kuwaza na kuwazua mbona yanikumbe haya yote na jinsi nilivyojitahidi kuichapa kazi iliyobora zaidi. Nilihangaika sana kutafuta suluhisho kwa washauri mbalimbali nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka kumi nisipate hata chembe ya suluhu ya tatizo langu. Ama kweli wapo wanaovuna wasipopanda kwani niligundua kwamba yupo mjomba wangu aliyewahi kunipeleka kwa mganga wakati nipo mdogo nisije nikafanikiwa maishani.

Baada ya kugundua ilivyokuwa awali nilimweleza rafiki yangu mmoja wa dhati ambaye kiukweli aliniambia kisa kimoja alichowahi kukisoma kwenye makala fulani kuhusu huduma za Kiwanga doctors ambazo zilimtatulia bwana fulani matatizo kama niliyokuwa nayo. Bila kupoteza muda niliwasiliana na daktari mmoja wa Kiwanga doctors ambaye nilifanya miadi nae ili tukutana nae siku mbili zilizofuatia.

Baada ya kukutana nae aliniambia kuwa tatizo langu lilikuwa dogo sana kwao na kuwa lingetatuliwa kwa muda wa siku mbili pekee. Sikuamini alichoniambia mpaka pale siku mbili hizo zilipopita ambapo nilipata simu chungu nzima kutoka hospitali mbalimbali wakihitaji huduma zangu. Niliamua kwenda kwa hospitali moja kubwa nchini Afrika Kusini ambapo nilifanya kazi na kukubalika na uongozi wa hospitali ile na hata kupandishwa madaraka mara kwa mara. Nimedumu kwenye kazi ile mpaka leo ni miaka kumi na miwili.

Kwa kweli Kiwanga doctors wana uwezo mkubwa sana wakutatua matatizo mbalimbali kama vile msukumo wa damu, ugonjwa wa pumu, malaria ya mgongo miongoni mwa magonjwa mengine. Vilevile wana uwezo wa kurejesha mapenzi kwenye familia, kupata vitu vilivyoibiwa na pia kulinda mali.

Kwa habari zaidi wasiliana na Kiwanga doctors kupitia njia zao za mawasiliano kama vile Simu; +254 769404965/Email; kiwangadoctors@gmail.com au tembelea tovuti www.kiwangadoctors.com

Post a Comment

0 Comments