Header Ads Widget

Video Mpya : NYASANI - SENSA


Msanii Maarufu Nyasani kutoka Shinyanga ameachia video mpya ya wimbo wa Sensa ya Watu na Makazi.  Audio producer ni Sheddy the Mix, Paradox Empire Records ,Video grapher 📸 Davy Skerah, CM Production.
TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp 0756472807