Header Ads Widget

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA AJALI YA GARI SIMIYU

  

Watu watano wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa baada ya kupata ajali iliyohusisha gari aina ya Toyota Wish ambayo imetokea Jana majira ya saa 10 jioni eneo la Ruguru Wilayani Itilima Mkoani Simiyu.

TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp 0756472807