Header Ads Widget

MBOWE AITOLEA UVIVU CCM, NAYO YAMJIBU

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema chama tawala (CCM) kinapaswa kulaumiwa kwa maumivu yote ambayo Watanzania wameyapata katika miaka 30 ya mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini.
 
Amesema katika muda huo, Tanzania imepitia vipindi tofauti, lakini kipindi cha kati ya mwaka 2015 – 2021 kilikuwa cha maumivu makali kwenye demokrasia na athari zake kila Mtanzania alizishuhudia.

Hoja hizo za Mbowe zilijibiwa na mjumbe wa Kamati kuu ya CCM, Stephen Wasira akisema CCM haiwezi kulaumiwa kwa kila jambo kwa sababu mambo mengine yanatokea kwenye vyama bila chama chenyewe kuhusika.
  
SOMA ZAIDI HAPA CHANZO MWANANCHI.
 

Post a Comment

0 Comments