Header Ads Widget

VIONGOZI WA CHADEMA WALIOKAMATWA WAACHIWA KWA DHAMANA

Viongozi 20 Chadema waachiwa kwa dhamana

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) John Pambalu, Katibu Mwenezi, Twaha Mwaipaya pamoja na viongozi wengine 18 wa Chama hicho Wilaya ya Babati mkoani Manyara waliokuwa wamekamatwa na Jeshi la Polisi wilayani humo wameachiwa kwa dhamana.

Viongozi hao walikamatwa siku ya Jumatano Mei 25, 2022 wakidaiwa kufanya mikutano kwenye vijiwe mjini Babati wakitoa elimu ya kudai Katiba mpya. 

 SOMA HAPA ZAIDI CHANZO MWANANCHI.

Post a Comment

0 Comments