Header Ads Widget

MBUNGE AMEITAKA SERIKALI KUIRASIMISHA GONGO KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE

Mbunge wa Momba (CCM), Condester Sichalwe ameitaka Serikali kuzipima na kuzirasimisha pombe za kienyeji ikiwamo gongo ili kuwasaidia kiuchumi wanawake wanaofanya shughuli hiyo.


Condester amebainisha  hayo leo Jumatatu Mei 9, 2022 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2022/2023 huku akionyesha baadhi  ya pombe za gongo ambazo amesema zimetoka nje ya nchi na zinauzwa hapa nchini.

SOMA HAPA ZAIDI CHANZO MWANANCHI.

Post a Comment

0 Comments