Header Ads Widget

MBUNGE AKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUBAKA

Mbunge akamatwa tuhuma kubaka

Mbunge wa Chama cha Conservative ambaye jina lake halijatajwa amekamatwa kwa tuhuma za ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia.

Polisi wa Metropolitan mjini London wameithibitisha kuwa mwanamume mmoja alikuwa kizuizini kwa tuhuma za alizofanya kati ya 2002 na 2009.

Shirika la Utangazaji la BBC limeripoti kuwa Chama cha Conservative kilisema kuwa aliombwa na kinara mkuu kutohudhuria Bunge wakati uchunguzi ukiendelea.
 
SOMA HAPA ZAIDI CHANZO millardAyo

Post a Comment

0 Comments