Header Ads Widget

HIZI HAPA BEI MPYA ZA PETROLI NA DIZELI

Bei mpya ya petroli, dizeli hii hapa
  Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji Tanzania (Ewura) imetangaza kuanza kutumika kwa bei mpya za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kuanzia leo Jumatano Mei 4, 2022 ambapo bei ya nishati hiyo imeendelea kuongezeka.
 
Kwa mujibu wa tangazo hilo lililotolewa Jumanne Mei 3, 2022 bei ya mafuta ya petroli katika Jiji la Dar es Salaam itakuwa Sh3, 148 na dizeli Sh3,264 kwa lita.
 
 SOMA ZAIDI HAPA CHANZO MWANANCHI.

Post a Comment

0 Comments