Header Ads Widget

SAKATA LA MADAI CCM ILIIBA KURA UCHAGUZI MKUU 2020 LAIBUKA BUNGENI

Mbunge awacharukia wanaodai CCM iliiba kura


Sakata la madai ya wizi wa kura limeibuka bungeni ambapo Mbunge wa Makambako (CCM), Deo Sanga amesema wananchi wamewapa ushindi wa kishindo kutokana na kazi mbalimbali zinazofanywa.
 
Sanga ameyasema hayo leo Jumanne Aprili 19, 2022 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) 2022/2023.

“Sasa mheshimiwa Spika nasema kwa uchungu mkubwa, mimi nimeshinda kwa kishindo na waheshimiwa wote hapa wameshinda kwa kishindo sio kwa kuiba kura”amesema.

SOMA HAPA ZAIDI CHANZO MWANANCHI.

TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp 0756472807