Header Ads Widget

ABIRIA 50 WANUSURIKA KIFO BASI LIKITEKETEA KWA MOTO MOROGORO


Wimbi la ajali limeendelea kuukumba Mkoa Morogoro baada ya abiria 50 waliokuwa wakisafiri na basi Kampuni ya Skyline linalofanya Safari zake za Dar na Katesh kunusurika kifo mara baada ya basi hilo kuteketea kwa Moto.

SOMA ZAIDI HAPA CHANZO MILLARDAYO.


TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp 0756472807