Header Ads Widget

TAZAMA AJALI YA BASI KAMPUNI YA KILIMANJARO, WATU KADHAA WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA


Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Kampuni ya Kilimanjaro linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Tunduma, kupata ajali asubuhi ya leo Jumatatu Machi 14, 2022.
 
Ajali hiyo imetokea katika eneo la Senjele ya Pili mkoani Songwe ambapo chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana.

Post a Comment

0 Comments