Header Ads Widget

GEITA WATAKA WARUDISHIWE GARI LAO LA KIFAHARI V8 YA SHILINGI MILIONI 400 ILIYOCHUKULIWA NA SERIKALI

Halmashauri ya mji wa Geita imeiomba Jumuiya ya Serikali za Mitaa nchini (ALAT) kupeleka kilio chao kwa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI ili warudishiwe gari lao la kifahari lililochukuliwa na Serikali kwa madai ya kununuliwa kwa bei kubwa.


Gari hilo aina ya Toyota Land Cruiser V8, lilichukuliwa na Tamisemi mwishoni mwa mwaka 2020 kufuatia malalamiko ya Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma kuwa gari hilo lilinunuliwa kwa bei ya Sh, milioni 400, bila ridhaa ya madiwani, wakati kukiwa na na upungufu wa vyumba vya madarasa na vituo vya afya.

SOMA HAPA ZAIDI ;CHANZO MILLARD AYO

Post a Comment

0 Comments