Header Ads Widget

ZUHURA YUNUS ATEULIWA MKURUGENZI MAWASILIANO IKULU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe.Samia Suluhu Hassan amemteuwa Bi.Zuhura Yunus Abdallah kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais -Ikulu

Taarifa ya uteuzi huo,umetolewa na ofisi ya Kurugenzi ya Mawasilano ikulu kwa vyombo vya habari leo tarehe 01,februari,2022.

TAZAMA BARUA YA UTEUZI.



Post a Comment

0 Comments