Header Ads Widget

RAIS SAMIA AKUTANA NA TUNDU LISSU

  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu Jijini Brussels leo Jumatano Februari 16,2022

 

 

 

 

TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp 0756472807