Header Ads Widget

MATUMIZI YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA VINAVYOCHANGIA KASI YA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KWA WASICHANA


Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi imebaini ongezeko la matumizi ya vidonge vya kuzuia mimba (P2) kwa baadhi ya wasichana hasa wenye umri wa kati ya miaka 14 hadi 24, jambo ambalo imebainishwa ni hatarishi kwa maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU).

Hayo yamesema jana na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Fatma Tawfiq wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za kamati hiyo kwa kipindi cha kati ya Januari mwaka 2021 hadio Februari mwaka 2022.
 
SOMA ZAIDI HAPA CHANZO MWANANCHI.

Post a Comment

0 Comments