Header Ads Widget

WAZIRI WA UWEKEZAJI GEOFREY MWAMBE ATEMBELEA BARRICK BULYNHULU


Waziri wa Uwekezaji,Geofrey Mwambe (kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa watendaji wa Barrick Bulynhulu.
****
Waziri wa uwekezaji Geofrey Mwambe, amefanya ziara ya kikazi katika mgodi katika mgodi wa Barrick wa Bulynhulu na kupata maelezo ya shughuli za mgodi huo katika ukuzaji wa sekta ya madini nchini sambamba na miradi ya kijamii inayotekelezwa na kampuni katika maeneo yanayozunguka mgodi. 

Waziri Mwambe,aliongozana na viongozi mbalimbali wa Serikali mkoani Shinyanga.
Waziri wa Uwekezaji,Geofrey Mwambe (katikati), akisikiliza maelezo kutoka kwa watendaji wa Barrick Bulynhulu
Mtendaji wa Barrick wakieleza shughuli za mgodi wakati wa ziara ya Waziri wa Uwekezaji,Geofrey Mwambe
Watendaji wa Barrick wakieleza shughuli za mgodi wakati wa ziara ya Waziri wa Uwekezaji,Geofrey Mwambe
Waziri wa Uwekezaji,Geofrey Mwambe katika mkutano na watendaji wa kampuni wakati wa ziara hiyo

Post a Comment

0 Comments