Header Ads Widget

RAIS SAMIA AZIDI KUBALANCE JENDA NAFASI ZA UONGOZI, AMTEUA SOPHIA MJEMA KUWA RC SHINYANGA , AMTENGUA SENGATI


Mhe. Sophia Edward Mjema

                 Dkt. Philemon Sengati, aliyekuwa RC Shinyanga
                                                        ****
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemon Sengati na kumteua Mkuu wa wilaya ya Arusha Mhe. Sophia Edward Mjema kuwa Mkuu wa Mkoa wa ShinyangaPost a Comment

0 Comments