Header Ads Widget

RAIS SAMIA ATEUA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA WAPYA 11, TISA WAHAMISHWA VITUO, SITA WABAKI KWENYE VITUO VYAO....WAMO RODRICK MPOGOLO NA BALOZI MATILDA BURIANI


Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa baadhi ya makatibu tawala wa mikoa, kuwahamisha baadhi na wengine kuwabakiza kwenye vituo vyao vya kazi. Lakini pia amefanya uteuzi wa watendaji wakuu wa taasisi. Uteuzi huo umeanza Mei 29,2021 na wataapishwa Juni 2,2021 saa 4 asubuhi Ikulu Chamwino Dodoma

Post a Comment

0 Comments