Header Ads Widget

MENEJA RUWASA KISHAPU NA WENZAKE 19 WATUMBULIWA, WAZIRI ATOA MAAGIZO

Waziri wa Maji, Juma Aweso

Waziri wa Maji, Juma Aweso ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi wa Wakala wa Maji Mijini na Vijijini (Ruwasa), Mhandisi Deusdedith Magoma na kuagiza arejeshwe wizarani na kupangiwa majukumu mengine.

Mbali na Mkurugenzi huyo, Waziri Aweso ameiagiza Bodi ya Ruwasa kutengua uteuzi wa mameneja Ruwasa katika wilaya 20 ikiwemo wilaya ya Kishapu katika mkoa wa Shinyanga.

Soma zaidi hapa chini taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari na KatibU Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Antony SangaTUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp 0756472807