Bodi ya Ligi Tanzania Bara (TPLB) imetangaza viingilio vya mchezo wa watani wa Jadi, Yanga na Simba unaotarajiwa kuchezwa Novemba 7, 202o kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar Es Salaam.
`