Header Ads Widget

PICHA: YANGA WALITEMBELEA KABURI LA NYERERE, WAMKABIDHI JEZI MAMA MARIA

Wachezaji na viongozi wa timu ya Yanga wakiwa katika kaburi la Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere leo Ijumaa Butiama

Viongozi na baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiwa wameketi pamoja na Mama Maria Nyerere

Mjumbe wa Kamati ya Mashindano Yanga, Injinia Hersi Said akimkabidhi jezi ya timu hiyo Mama Maria Nyerere

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Mshindo Msolla (kulia) akimkabidhi jezi ya timu hiyo Mama Maria Nyerere

Post a Comment

0 Comments