Header Ads Widget

PICHA: WANANCHI WALIVYOJITOKEZA KUPIGA KURA KAHAMA

Wananchi wakiwa wamepanga foleni katika kituo cha Nyasubi Kati Kata ya Nyasubi Wilayani Kahama kwa ajili ya kupiga kura za diwani, Mbunge na Rais katika siku ya uchaguzi mkuu Oktoba 28, 2020.
Picha na Patrick MabulaPost a Comment

0 Comments