Header Ads Widget

PICHA: NAIBU WAZIRI MASAUNI AWATEMBELEA MAJERUHI WA VURUGU ZA KISIASA PEMBA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wa pili kushoto), akimsikiliza mmoja wa majeruhi wa vurugu za kisiasa zilizotokea Visiwani Pemba, Khatibu Said Khatibu ambapo alijeruhiwa maeneo ya tumboni na mgongoni kwa kuchomwa kisu na wanaodaiwa wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo, ambapo jumla ya majeruhi saba wanapatiwa huduma katika Hospitali ya Micheweni iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.

Post a Comment

0 Comments