Header Ads Widget

PICHA: JPM SAFARINI KUELEKEA DODOMA, AZUNGUMZA NA WANANCHI KONDOA



Yaliyojiri barabarani wakati Mgombea Urais Dkt John Pombe Magufuli akiwa njiani Kutoka Mkoani Manyara kuelekea Dodoma ambapo alipata nafasi ya kusalimia na kuwaomba kura zao zote siku ya Oktoba 28 mamia kwa mamia ya Watanzania waliojipanga barabarani kumlaki. Dkt John Pombe Magufuli alipata nafasi ya kuwasisitiza Watanzania wote kutofanya makosa siku ya kupiga kura kwa Kutoa kura Zote kwa CCM.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM













































Post a Comment

0 Comments