Header Ads Widget

MAJALIWA AINADI CCM LOLIONDO, ASEMA JPM NI MTU PEKEE WA KUPAMBANA NA RUSHWA

Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Ndugu Kassim Majaliwa anaendelea kutimba chocho kwa chocho kusaka kura za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli, Wabunge na Madiwani wote wa CCM na Leo Ijumaa Oktoba 16, 2020 ni zamu ya Arusha. Haya ndiyo aliyoyazungumza Kwenye Mkutano Mkubwa Uliofanyika Loliondo, Arusha.
#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM





Post a Comment

0 Comments