Header Ads Widget

KAULI NA AHADI MUHIMU ZA JPM KAWE, DK BASHIRU, VIONGOZI WA DINI WANENA


Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli Jana Jumatano Oktoba 14 alihutubia Mkutano Mkubwa wa Kampeni Uliofanyika Viwanja Vya Tanganyika Packers, Kawe Jijini Dar es Salaam. Dkt Magufuli alitumia Mkutano huo pia Kukumbuka miaka 21 bila ya kuwa na Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere na alipata nafasi ya Kumuelezea kwa Mapana Baba wa Taifa na Kuwaasa Watanzania kuwaepuka baadhi ya Wagombea wa Urais wanaotumika na Mabeberu kutaka kuvuruga amani ya nchi yetu kwa maslahi yao binafsi. Haya ndio aliyoyazungumza Kwenye Mkutano huo.

#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM 
 
 
 
 
 











Post a Comment

0 Comments