Header Ads Widget

KAMATA RATIBA YA MECHI ZA WIKENDI LIGI KUU BARA NA UINGEREZA

Na Shinyanga Press Club Blog
LIGI Kuu Tanzania Bara (VPL) msimu huu inatarajiwa kuendelea tena wikendi hii kwa mechi mbalimbali kupigwa, ambapo itaanza Ijumaa ya leo kwa michezo miwili ya Gwambina FC watakaowakaribisha Kagera Sugar huku timu zote zikiwa na kumbukumbu ya kupoteza michezo yao ya kwanza ya ligi Septemba 6, 2020.

Mchezo wa Pili Ijumaa hii utazikutanisha Azam FC dhidi ya Coastal Union ya Tanga katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Salaam.

Tazam ratiba kamili

LIGI Kuu ya nchini Uingereza msimu wa mwaka 2020/2021 nayo inatarajiwa kuanza rasmi wikendi hii siku ya kesho Jumamosi Septemba 12, 2020 kwa mchezo wa utangulizi baina ya Fulham watakaowakaribisha Arsenal