
Kikosi cha timu ya Simba msimu wa 2020/2021

Orodha ya wachezaji wa Simba SC watakaoanza katika mchezo wa leo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Namungo FC kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha muda mfupi ujao.
Copyright (c) 2022 SHINYANGA PRESS CLUB BLOG All Right Reserved