Header Ads Widget

STEVEN MASELE LICHA YA JINA KUTORUDI NITAKUWA PAMOJA KUHAKIKISHA CHAMA CHANGU KINA SHINDA


Ameandika Steven Masele Kupitia akaunti yake ya Twitter.

"Nimepokea kwa heshima kubwa maamuzi ya chama changu.Nawashukuru wananchi wa jimbo la shinyanga mjini,viongozi wote wa chama changu ngazi zote kwa kunipa fursa ya kuwa mbunge kwa miaka kumi.Tushikamane kukipigania chama kiweze kushinda uchaguzi mkuu.Binafsi nitashiriki kikamilifu"
Amehitimisha kwa kusema hayo.