Header Ads Widget

HAYA NDIYO MADHARA YALIYOJITOKEZA BAADA YA MLIPUKO WA BEIRUT




Mji wa Beirut, mji mkuu wa Lebanon, umetikisika kutokana na mlipuko, uliogharimu maisha ya watu na kusababisha majeraha kwa maelfu ya watu na uharibifu mkubwa.

Kuna Ripoti kuwa mlipuko ulisikika umbali wa mamia ya kilomita visiwa vya Cyprus.

Maafisa wamelaumu mlipuko huo uliotokea kwenye karakana iliyotunza tani elfu kadhaa za kemikali ya ammonium nitrate kwa miaka sita.

Haijajulikana kitu gani hasa kilisababisha mlipuko huo.










                                                                      CHANZO-BBC




Post a Comment

0 Comments