Header Ads Widget

GODWIN MAKOMBA NDIYE MGOMBEA UBUNGE WA ACT WAZALENDO SHINYANGA MJINI


Pichani kulia ni Godwin Michael Makomba akikabidhiwa fomu na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Shinyanga, Geofrey Mwangulumbi jana Agosti 20,2020.

Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Godwin Michael Makomba amechukua fomu kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Chanzo: Malunde 1 Blog