Header Ads Widget

UONGOZI WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA SHINYANGA UNATOA POLE KWA WATANZANIA KUONDOKEWA NA RAIS MSITAAFU MKAPA


Uongozi wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga Unapenda kutoa pole kwa Ndugu, Jamaa, Marafiki na Watanzania wote kwa kuondokewa na Raisi wetu Msitaafu wa awamu ya tatu Mheshimiwa Benjamini William Mkapa aliyefariki usiku wa kuamkia leo.
Shinyanga press club  inaungana na watamzania wote katika kipindi hiki cha Majonzi tuko pamoja na watanzania wote 
Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie Mzee wetu Benjamani apumzike kwa amani 
AMINA