Header Ads Widget

UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OCTOBER 28 SIKU YA JUMATANO 2020.

Tume ya taifa ya uchaguzi NEC imetangaza rasmi tarehe ya uchaguzi Mkuu wa Tanzania pamoja na ratiba ya kuanza kwa mikutano ya Kampeni.

Mwenyekiti wa tume hiyo Jaji Msatiaafu wa Mahakama ya Rufaaa Semistockles Kaijage ametangaza Rasmi kuwa uchaguzi Mkuu utafanyika October 28 siku ya Jumatano mwaka huu huku kampeni zikitarajiwa kuanza August 26 hadi October 27 
katika hatua nyingine Mwenyekiti amesema kuwa wagombea wa nafasi ya Urais,Makamu wa Rais ,Ubunge na Udiwani Utafanyika August 25 .




  • @ShinyangaPressClub Jukwaa la Habari Tanzania 
     Uhakika wa Taarifa.

  • ##Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 789 632 732, +255 756 546 015 au +255 686 057 440 Email : shinyapress@gmail.com