` MADIWANI MANISPAA YA SHINYANGA WAWASILISHA TAARIFA ZA KWENYE KATA ZAO,KIKAO CHA BARAZA

WANDAMAN HOTEL

MADIWANI MANISPAA YA SHINYANGA WAWASILISHA TAARIFA ZA KWENYE KATA ZAO,KIKAO CHA BARAZA

MADIWANI MANISPAA YA SHINYANGA WAWASILISHA TAARIFA ZA KWENYE KATA ZAO,KIKAO CHA BARAZA

Na Marco Maduhu, SHINYANGA

Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga wamewasilisha taarifa za kata zao katika kikao cha Baraza la Madiwani, wakieleza mafanikio yaliyopatikana pamoja na changamoto zinazowakabili wananchi na kuomba hatua zichukuliwe kuzitatua.
Wamewasilisha taarifa hizo kwenye kikao cha baraza hilo ambalo limefanyika leo Agosti 11,2026.

Miongoni mwa maeneo yaliyosisitizwa ni sekta ya elimu, afya na miundombinu, ikiwa ni pamoja na kuboresha barabara, kuongeza watumishi wa afya, walimu na kujenga matundu ya vyoo pamoja na kuboresha huduma katika vituo vya afya na Zahanati.
Baraza hilo, limeongozwa na Naibu Meya wa Manispaa ya Shinyanga Pendo Sawa.

TAZAMA PICHA👇👇
Naibu Meya wa Manispaa ya Shinyanga Pendo Sawa akizungumza.
Naibu Meya wa Manispaa ya Shinyanga Pendo Sawa akizungumza.
Naibu Meya wa Manispaa ya Shinyanga Pendo Sawa akiongoza kikao cha baraza.
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Marry Maka akizungumza.
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Anold Makombe akizungumza.
Mwakilishi wa Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Adonias Nyanjulilwa akizungumza.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464