
Muigizaji Hashimu Kambi enzi za uhai wake.
Muigizaji nguli wa filamu za kitanzania Hashimu Kambi afariki Dunia Leo Aprili 27,2025..
Taarifa zaidi zitakuijia hapo baadae..
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mwigizaji mwenzake, William Mtitu.


Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464