` Live : RAIS SAMIA ANAPOKEA RIPOTI YA UCHUNGUZI UVUNJIFU WA AMANI UCHAGUZI MKUU 2025

WANDAMAN HOTEL

Live : RAIS SAMIA ANAPOKEA RIPOTI YA UCHUNGUZI UVUNJIFU WA AMANI UCHAGUZI MKUU 2025

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anapokea ripoti ya Tume ya Rais iliyoundwa kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Tukio hilo muhimu kitaifa linafanyika  Aprili 23,2026 Ikulu, Dar es Salaam.

Fuatilia hapa

KIINGEREZA - ENGLISH

PRESIDENT SAMIA RECEIVES INQUIRY REPORT ON 2025 ELECTION VIOLENCE IN TANZANIA

KISWAHILI - SWAHILI

RAIS SAMIA AKIPOKEA RIPOTI YA TUME YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI - UCHAGUZI MKUU – 2025



KIFARANSA - FRENCH


LA PRÉSIDENTE SAMIA REÇOIT LE RAPPORT DE LA COMMISSION D’ENQUÊTE SUR LES TROUBLES ÉLECTORAUX DE 2025 
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464