` Picha & Video : MAHAFALI YA PILI DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI NHELEGANI

Picha & Video : MAHAFALI YA PILI DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI NHELEGANI

 

Mahafali ya pili ya darasa la saba yamefanyika katika Shule ya Msingi Nhelegani, iliyopo Manispaa ya Shinyanga, yamefanyika Septemba 24, 2025. 

Katika hafla hiyo, jumla ya wanafunzi 128 wamehitimu elimu ya msingi, wakiwemo wavulana 52 na wasichana 76, wakiwakilisha jitihada za shule kuhakikisha elimu bora kwa wote.

TAZAMA VIDEO































Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464