










Nilipoteza Mwaka Mzima Nikibeti Bila Faida Lakini Siku Moja Nilijua Siri na Nikashinda Milioni 18
Kuna wakati nilikuwa najiita mtaalamu wa kubeti. Nilifuatilia ligi zote EPL, La Liga, Serie A, hadi ligi za Saudi Arabia na Ukraine. Nilikuwa najua mechi kabla haijaanza, angalau ndivyo nilivyojifanya kuamini. Lakini kwa mwaka mzima, nilichofanya ni kuingia kila siku kwenye apps za betting, kuweka dau, kisha kulia kimya kimya baada ya matokeo kuharibika.
Nilifilisi. Nilikuwa nikiiba hela ya kodi ya nyumba, nauli ya kazini, hata pesa ya mama ya matunda ya wiki. Kila betslip yangu ilikuwa ya hasara. Nilijaribu kubadili timu, kubadilisha apps, hata kuomba ushauri kwa marafiki lakini yote yalikuwa bure. Niliwahi kulala njaa mara kadhaa kwa sababu ya ‘dau la kujiamini’ lililogeuka maumivu.