
Na Suzy Butondo
MJUMBE WA MKUTANO MKUU WAZAZI TAIFA HATIBU MGEJA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI KATA YA NGOKOLO WILAYA YA SHINYANGA MJINI
Mjumbe wa Mkutano Mkuu Wazazi Taifa Hatibu MGEJA achukukua na kurejesha fomu ya kuwania Udiwani Kata ya Ngokolo-Shinyanga leo June 30 katika ofisi ya kata ya Ngokolo
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464