































Bibi Harusi Apagawa Madhabahuni Baada ya Kumwona Ex Wake Akiwa Best Man
Sikuwahi kufikiria kwamba siku yangu ya harusi ingeishia kwa aibu, vilio na mshituko. Nilijipanga kwa miezi saba, nikahakikisha kila kitu kiko sawa nguo, mapambo, orodha ya wageni, kadi, hata nyimbo za harusi nilizichagua mwenyewe. Musa, mchumba wangu, alikuwa mpole, mwenye maono, na mkarimu. Niliamini alikuwa ndiye mwanaume wa ndoto zangu.
Siku ya harusi ilipofika, kila mtu alikuja mapema kanisani. Nilivaa gauni langu jeupe lenye upindo wa dhahabu na nikasindikizwa na baba yangu huku kamera zikichukua kila hatua. Muziki wa taratibu ulipigwa. Kanisa lilifurika. Nilijisikia kama malkia.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464