` ALIGUNDUA KUWA NYOTA YAKE YA KUZALIWA ILIFUNIKWA KWA MIAKA MINGI

ALIGUNDUA KUWA NYOTA YAKE YA KUZALIWA ILIFUNIKWA KWA MIAKA MINGI



Aligundua Kuwa Nyota Yake ya Kuzaliwa Ilifunikwa kwa Miaka Mingi, Sasa Kila Jambo Linamwendea Sawa

Kwa miaka mingi maisha yangu yalionekana kama mzaha wa Mungu. Nilikuwa nafanya kila kitu kwa bidii kusoma kwa juhudi, kutafuta kazi kila mahali, hata kushiriki maombi na ibada bila kukosa.

Lakini licha ya juhudi zote, sikuona mafanikio yoyote. Ilifika wakati nikaamini labda nilizaliwa tu kwa ajili ya kuteseka. Wenzangu tuliomaliza nao shule walipata kazi nzuri.


Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464