























Muuguzi Apatikana na Mimba ya Mgonjwa Aliyekuwa Mahututi Wenzake Wadai ni Uchawi wa Tendo
Tukio la ajabu limezua mshangao mkubwa katika zahanati ya kijiji cha Mfulu, mkoani Morogoro, baada ya muuguzi mmoja kijana kujikuta akiwa mjamzito huku akidai baba wa mtoto ni mgonjwa aliyekuwa hajitambui kwa wiki tatu.
Wenzake walioshtuka na kilichotokea wanadai huenda ni “uchawi wa tendo la ndoa” kwa kuwa hakuna uwezekano wa kawaida kwa hali hiyo kutokea