` UGONJWA WA ZINAA ULITAKA KUHARIBU MAISHA YANGU

UGONJWA WA ZINAA ULITAKA KUHARIBU MAISHA YANGU



Ugonjwa wa zinaa ulitaka kuharibu maisha yangu na hivi ndivyo nilipona




Naitwa Suma kutokea Mwanza, unajua hapa duniani unaweza kufikwa na jambo bila hata kutarajia, pia jambo lingine linaweza kukufika hata kama umechukua tahadhari ya kutosha.


Ndivyo ilivyokuwa kwangu baada ya kubainika nimeambukizwa ugonjwa wa zinaa, kisonono, sikuwa na mahusiano na wanawake wengi zaidi ya mpenzi wangu ambaye nimekuwa naye kwa miaka miwili sasa.

Baada ya kwenda Hospitali kupima na kubainika kuwa nimeambukizwa ugonjwa huo, nilimuuliza mpenzi wangu akaniambia yeye yupo salama kabisa.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464