
Mke alivyomuokoa mume wake ambaye alikuwa hawezi kazi yake ya msingi
Naitwa Mama Suma kutokea Rombo, niliolewa mwaka 2019, mimi na mume wangu tunapendana sana ila kuna jambo fulani kipindi cha katikati karibia livunje ndoa yetu.

Nalo ni kwamba mume wangu ilikuwa anasusa kula chakula cha usiku, yaani kila nikitaka kumpa haki yake ya ndoa alikuwa anasema amechoka, mara hajisikiii, basi ni limradi tu asishiriki tendo hilo.