
Sikujua kwamba fedha zangu zilikuwa zinatoweka kimiujiza!
Hakuna kitu ambacho kimewahi kunipa sana msongo mawazo maishani mwangu kama kipindi ambacho kila wakati nilipokuwa napata fedha zilikuwa zinapotea kama sio kutoweka bila kufanyia jambo lolote la maendeleo.

Jina langu ni Abed, ni mfanyakazi ya wa serikali, kila mwisho wa mwezi nilikuwa napokea mshahara kama wafanyakazi wenzangu lakini mimi nilikuwa nashindwa kupiga hatua kimaisha.